Benki mahali popote, wakati wowote kupitia simu yako.
Piga *150*07# kupata akaunti yako ya Benki
• Kununua au kutuma muda wa maongezi
• Kutuma fedha
• Pata mkopo
• Angalia salio la akaunti yako
• Ombi la taarifa ya fupi ya akaunti yako
• Kutoa fedha kutoka kwenye ATM ya Aquity au Agent
• Kutoa fedha kutoka kwa Agent wa Equity au moja kwa moja kutoka kwenye ATM
ya bank ya Equity yoyote na mengi zaidi
• Kulipa bili, huduma na bidha
Kujiandikisha kwa huduma za benki za Eazzy 24/7, tembelea tawi lolote la Benki ya Equity au
Agent aliye karibu nawe.
Download app ya EazzyBanking kutoka Google Play