Loading...
×

Loans Calculator

Calculate interest base on

Expert Loan Tips

Before you apply for a personal loan, consider other forms of credit. You might find a credit card is cheaper and a card with a 0 per cent introductory offer on purchases will enable you to spread the cost of big purchase interest-free.

*The rates above are indicative, visit a branch near you for more details.

Eazzy Api

 

Kupitia Eazzy API, watengenezaji wa programu, biashara, taasisi na watoa huduma za
malipo sasa wanaweza kutumia benki kidigitali. Tumedhirisha uwezo wa benki katika
kushirikiana kwa mfumo wa APIs moja kwa moja na mifumo yako au kwa wateja wenye
wanaozingatia usalama dhabiti kwa daraja la kibenki.
API hizi ni pamoja na:
• Uhamisho wa Fedha (ndani na nje ya Equity)
• Nalipo ya muda wa maongezi kutoka mtandao wowote kwa diskaunti
• Malipo ya bili, bidhaa na huduma
• Kufungua akaunti ya Instant Equity na mengine mengi Zaidi
Kwa Eazzy API, sasa unaweza kufungua biashara yako au program katika soko kubwa la
mtandaoni, pia unaweza kupokea malipo ya elektroniki na kupunguza gharama za
uendeshaji wa biashara yako.
Kwa maelezo zaidi tembelea
Tz.equitybankgroup.com/eazzybanking
+ 255 768 985 555

 

Tembelea http://online.equitybankgroup.com kuweza kutumia akaunti yako kwa usalama

 

 

Download app ya EazzyBanking kutoka Google Play