Loading...
×

Loans Calculator

Calculate interest base on

Expert Loan Tips

Before you apply for a personal loan, consider other forms of credit. You might find a credit card is cheaper and a card with a 0 per cent introductory offer on purchases will enable you to spread the cost of big purchase interest-free.

*The rates above are indicative, visit a branch near you for more details.

Eazzy Banking App

 EazzyBanking App ni Benki yako popote, wakati wowote ulipo. Kila kitu unachofanya kwenye benki sasa utakifanya kwenye App ya EazzyBanking, kuanzia kutuma pesa, kupata mkopo kulipa bili au kuangalia mwenendo wa akaunti yako, yote yapo mikononi mwako.

 

 

Nani anayeweza kutumia App ya EazzyBanking?

 

App inapatikana kwa wateja wote wa Equity Bank

 

 

 

Nini kinahitajika kupata App ya EazzyBanking?

 

• Akaunti ya Benki ya Equity, ikiwa huna akaunti ya Equity unaweza

 

Kufungua akaunti kwa haraka kupitia kwenye app ya EazzyBanking.

 

• Simu janja na intaneti. Unaweza kuitumia App kutoka mtandao wowote wa simu

 

 

 

Download app ya EazzyBanking kutoka Google Play.