Loading...
×

Loans Calculator

Calculate interest base on

Expert Loan Tips

Before you apply for a personal loan, consider other forms of credit. You might find a credit card is cheaper and a card with a 0 per cent introductory offer on purchases will enable you to spread the cost of big purchase interest-free.

*The rates above are indicative, visit a branch near you for more details.

Eazzy BIZ

Huu ni Usimamizi, dhabiti, salama na wa uhakika wa fedha na suluhisho ambalo linajumuisha

Malipo, Makusanyo & Mapokezi ya Usimamizi fedha wa (H2H) modules kwa ajili ya wateja wakubwa na wadogo (Corporate &SME)

 

Kwa muunganisho mzuri, inakupa mtazamo wa kimataifa wa nafasi ya fedha zako,

kukuwezesha kufanya malipo, kusimamimia mzunguko wa fedha zako na kubalance

fedha kulingana na soko la fedha za kigeni.

 

 

 

Matumizi ya EazzyBiz huwa na manufaa makubwa kwa mtumiaji, kama vile uwezo wa

kuona akaunti zako zote za biashara kwa mara moja, upatikanaji habari kupitia analytics

na usimamizi wa dash boards.

 

 

Vitu muhimu:

         Kasi na urahisi – Mchakato wa malipo hufanyika wakatu huo huo

         Umuhimu wa kuokoa muda kupitia mchakato wa automated

         Rahisi kutumia Widgets na dash boards hupatikanaji kwa haraka na rahisi

         Upatikanaji wa 24/7 Unaweza kufanya kazi wakati wowote, siku yoyote, mahali popote.

         Kuongezeka kwa mzunguko wa fedha kwa njia ya utaratibu wa ukusanyaji ulio fanisi.

         Mipango ya Mikopo kwa kuzingatia taarifa zinazopokelewa

         Automated Reconciliation – kupitia sharia maalum za mteja zinazomsaidia kuzuiya Malipo dhidi ya ankara

 

         Njia bora ya ukaguzi shughuli zote zinaweza kufuatiliwa na kuchunguzwa