Loading...
×

Loans Calculator

Calculate interest base on

Expert Loan Tips

Before you apply for a personal loan, consider other forms of credit. You might find a credit card is cheaper and a card with a 0 per cent introductory offer on purchases will enable you to spread the cost of big purchase interest-free.

*The rates above are indicative, visit a branch near you for more details.

Eazzy Kikundi

HiIi ni suluhisho la mtandaoni linalowezesha wamiliki wa akaunti ya Pamoja, Kikundi au KIKOBA/SACCOS kusimamia shughuli zao za kikundi kama kuweka kumbukumbu na shughuli za kibenki, ili kudumisha uwazi na upatikanaji wa taarifa kwa wanachama wote wa kikundi. Hili suluhisho linaruhusu wajumbe wa kikundi;

 

Kufuatilia shughuli za kikundi kama vile utoaji fedha, uhamishaji fedha ambao hufanyika kwenye akaunti za benki za kikundi kupitia (single window dashboard).

 

Ufwatiliaji wa Orodha ya shughuli binafsi katika kikundi; michango ya kila mwezi, faini za kikundi, taarifa zao za kikundi na fedha nyingine zote zinazohusu kila mwanachama

 

Kufuatilia shughuli kwa urahisi - Ina utendaji na usimamizi wa kumbukumbu

 

Huokoa muda na kufanya kazi kwa ufanisi. Hakuna haja makaratasi Kutumia Eazzychama, unahitaji kifaa chochote chenye uwezo wa intaneti mfano, kompyuta

au simu ya mkononi.

 

Unganisha akaunti ya kundi, chama kwa EazzyKikundi.

 

Tembelea http://online.equitybankgroup.com kujiunga sasa.

 

Download app ya EazzyBanking kutoka Google Play