Loading...
×

Loans Calculator

Calculate interest base on

Expert Loan Tips

Before you apply for a personal loan, consider other forms of credit. You might find a credit card is cheaper and a card with a 0 per cent introductory offer on purchases will enable you to spread the cost of big purchase interest-free.

*The rates above are indicative, visit a branch near you for more details.

Eazzy Pay

Sasa unaweza kulipia bili, bidhaa na huduma moja kwa moja kupitia simu yako kwa

kutumia

• App ya EazzyBanking

• Pesa za mtandao (Vodacom, M-Pesa na Tigopesa)

Tazama sehemu zenye alama ya EazzyPay kwa mfano; Madukani, Super Market,

mashirika ya ndege, vituo vya mafuta, hoteli pamoja na mtandaoni.

EazzyPay inakupa uhuru wa kuchagua jinsi ya kulipa na kufurahia faida mbalimbali kama;

 

• Kuokoa pesa;

» Hakuna makato ya ziada unapolipia huduma moja kwa moja, kutoka kwenye

Akaunti yako ya Equity

JINSI YA KUFANYA MALIPO YAKO

Jinsi ya kutumia Eazzy Banking App

• Download App ya EazzyBanking kutoka Google Play store.

• Ingia katika App ya EazzyBanking

• Bonyeza ishara (+)

• Chagua EazzyPay

• Ingiza namba kama ilivyoonyeshwa kwenye EazzyPay sticker

• Ingiza namba ya Kitambulisho cha mtumiaji msaidizi (ikiwa inahitajika)

• Ingiza kiasi cha pesa

• Hakikisha maelezo

• Utapokea uthibitishaji wa SMS

 

Download app ya EazzyBanking kutoka Google Play